Native Bible

1 Kings 9:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

(Farao mfalme wa Misri alikuwa ameushambulia na kuuteka mji wa Gezeri. Alikuwa ameuchoma moto. Akawaua Wakanaani waliokuwa wakikaa humo na kisha kuutoa kwa binti yake, yaani mkewe Solomoni, kama zawadi ya arusi.

1 Kings 9:16 in English

1 Kings 9:16 · Berean Standard Bible

Pharaoh king of Egypt had attacked and captured Gezer. He had set it on fire, killed the Canaanites who lived in the city, and given it as a dowry to his daughter, Solomon’s wife.

Context

14Basi Hiramu alikuwa amempelekea mfalme talanta 120* za dhahabu. 15Haya ni maelezo kuhusu kazi za kulazimishwa ambazo Mfalme Solomoni, alivyowafanyiza watu ili kulijenga hekalu la Bwana, na jumba lake la kifalme, na Milo,* ukuta wa Yerusalemu, Hazori, Megido na Gezeri. 16(Farao mfalme wa Misri alikuwa ameushambulia na kuuteka mji wa Gezeri. Alikuwa ameuchoma moto. Akawaua Wakanaani waliokuwa wakikaa humo na kisha kuutoa kwa binti yake, yaani mkewe Solomoni, kama zawadi ya arusi. 17Solomoni akaujenga tena Gezeri.) Akajenga Beth-Horoni ya Chini, 18akajenga Baalathi na Tamari kwenye jangwa katika eneo la nchi yake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.