Native Bible

1 Kings 8:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

naam, hakika nimekujengea Hekalu zuri sana, mahali pako pa kuishi milele.”

1 Kings 8:13 in English

1 Kings 8:13 · Berean Standard Bible

I have indeed built You an exalted house, a place for You to dwell forever.”

Context

11Nao makuhani hawakuweza kufanya huduma yao kwa sababu ya lile wingu, kwa kuwa utukufu wa Bwana ulijaza Hekalu lake. 12Ndipo Solomoni akasema, “Bwana alisema kwamba ataishi katika giza nene; 13naam, hakika nimekujengea Hekalu zuri sana, mahali pako pa kuishi milele.” 14Kusanyiko lote la Israeli lilipokuwa limesimama hapo, mfalme akageuka na kuwabariki. 15Kisha akasema: “Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye kwa mkono wake mwenyewe ametimiza lile alilomwahidi Daudi baba yangu kwa kinywa chake mwenyewe. Kwa kuwa alisema,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.