Native Bible

1 Kings 8:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Solomoni akasema, “Bwana alisema kwamba ataishi katika giza nene;

1 Kings 8:12 in English

1 Kings 8:12 · Berean Standard Bible

Then Solomon declared: “The LORD * has said that He would dwell in the thick cloud.

Context

10Makuhani walipoondoka katika Mahali Patakatifu, wingu likajaza Hekalu la Bwana. 11Nao makuhani hawakuweza kufanya huduma yao kwa sababu ya lile wingu, kwa kuwa utukufu wa Bwana ulijaza Hekalu lake. 12Ndipo Solomoni akasema, “Bwana alisema kwamba ataishi katika giza nene; 13naam, hakika nimekujengea Hekalu zuri sana, mahali pako pa kuishi milele.” 14Kusanyiko lote la Israeli lilipokuwa limesimama hapo, mfalme akageuka na kuwabariki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.