Native Bible

1 Kings 8:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nao makuhani hawakuweza kufanya huduma yao kwa sababu ya lile wingu, kwa kuwa utukufu wa Bwana ulijaza Hekalu lake.

1 Kings 8:11 in English

1 Kings 8:11 · Berean Standard Bible

so that the priests could not stand there to minister because of the cloud; for the glory of the LORD filled the house of the LORD.

Context

9Ndani ya Sanduku hapakuwepo kitu kingine chochote isipokuwa zile mbao mbili za mawe ambazo Mose alikuwa ameziweka ndani yake huko Horebu, mahali ambapo Bwana alifanya Agano na Waisraeli baada ya kutoka Misri. 10Makuhani walipoondoka katika Mahali Patakatifu, wingu likajaza Hekalu la Bwana. 11Nao makuhani hawakuweza kufanya huduma yao kwa sababu ya lile wingu, kwa kuwa utukufu wa Bwana ulijaza Hekalu lake. 12Ndipo Solomoni akasema, “Bwana alisema kwamba ataishi katika giza nene; 13naam, hakika nimekujengea Hekalu zuri sana, mahali pako pa kuishi milele.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.