Native Bible

1 Kings 2:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sasa ninalo ombi moja ninalokuomba. Usinikatalie.” Bathsheba akasema, “Waweza kuliomba.”

1 Kings 2:16 in English

1 Kings 2:16 · Berean Standard Bible

So now I have just one request of you; do not deny me.” “State your request,” she told him.

Context

14Kisha akaongeza, “Ninalo jambo la kukuambia.” Akajibu, “Waweza kulisema.” 15Akasema, “Kama unavyojua, ufalme ulikuwa wangu. Israeli wote waliniangalia mimi kama mfalme wao. Lakini mambo yalibadilika, ufalme umekwenda kwa ndugu yangu, kwa maana umemjia kutoka kwa Bwana. 16Sasa ninalo ombi moja ninalokuomba. Usinikatalie.” Bathsheba akasema, “Waweza kuliomba.” 17Kwa hiyo akaendelea kusema, “Tafadhali mwombe Mfalme Solomoni, anipatie Abishagi, Mshunami, awe mke wangu; hatakukatalia wewe.” 18Bathsheba akamjibu, “Vema sana, nitazungumza na mfalme kwa ajili yako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.