Native Bible

1 Kings 2:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bathsheba akamjibu, “Vema sana, nitazungumza na mfalme kwa ajili yako.”

1 Kings 2:18 in English

1 Kings 2:18 · Berean Standard Bible

“Very well,” Bathsheba replied. “I will speak to the king for you.”

Context

16Sasa ninalo ombi moja ninalokuomba. Usinikatalie.” Bathsheba akasema, “Waweza kuliomba.” 17Kwa hiyo akaendelea kusema, “Tafadhali mwombe Mfalme Solomoni, anipatie Abishagi, Mshunami, awe mke wangu; hatakukatalia wewe.” 18Bathsheba akamjibu, “Vema sana, nitazungumza na mfalme kwa ajili yako.” 19Bathsheba alipokwenda kwa Mfalme Solomoni kuzungumza naye kwa ajili ya Adoniya, mfalme alisimama kumlaki mama yake, akamwinamia na kuketi kwenye kiti chake cha ufalme. Akaamuru kiti cha ufalme kuletwa kwa ajili ya mama yake mfalme, naye akaketi mkono wake wa kuume. 20Bathsheba akamwambia mfalme, “Ninalo ombi moja dogo la kukuomba; usinikatalie.” Mfalme akajibu, “Omba, mama yangu; sitakukatalia.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.