Native Bible

1 Kings 17:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.”

1 Kings 17:4 in English

1 Kings 17:4 · Berean Standard Bible

And you are to drink from the brook, and I have commanded the ravens to feed you there.”

Context

2Kisha neno la Bwana likamjia Eliya, kusema, 3“Ondoka hapa, elekea upande wa mashariki ukajifiche katika Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani. 4Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.” 5Hivyo akafanya kile alichoambiwa na Bwana. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko. 6Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi na mkate na nyama jioni, naye akanywa maji kutoka kile kijito.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.