Native Bible

1 Kings 17:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ondoka hapa, elekea upande wa mashariki ukajifiche katika Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani.

1 Kings 17:3 in English

1 Kings 17:3 · Berean Standard Bible

“Leave here, turn eastward, and hide yourself by the Brook of Cherith, east of the Jordan.*

Context

1Basi Eliya, Mtishbi kutoka Tishbi katika Gileadi, akamwambia Ahabu, “Kama Bwana, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninamtumikia, hapatakuwa na umande wala mvua katika miaka hii, isipokuwa kwa neno langu.” 2Kisha neno la Bwana likamjia Eliya, kusema, 3“Ondoka hapa, elekea upande wa mashariki ukajifiche katika Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani. 4Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.” 5Hivyo akafanya kile alichoambiwa na Bwana. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.