Native Bible

1 Kings 17:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha neno la Bwana likamjia Eliya, kusema,

1 Kings 17:2 in English

1 Kings 17:2 · Berean Standard Bible

Then a revelation from the LORD came to Elijah:

Context

1Basi Eliya, Mtishbi kutoka Tishbi katika Gileadi, akamwambia Ahabu, “Kama Bwana, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninamtumikia, hapatakuwa na umande wala mvua katika miaka hii, isipokuwa kwa neno langu.” 2Kisha neno la Bwana likamjia Eliya, kusema, 3“Ondoka hapa, elekea upande wa mashariki ukajifiche katika Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani. 4Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.