1 Wafalme 17:5
1 Kings 17:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo akafanya kile alichoambiwa na Bwana. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko.
1 Kings 17:5 in English
1 Kings 17:5 · Berean Standard Bible
So Elijah did what the LORD had told him, and he went and lived by the Brook of Cherith, east of the Jordan.
Context
3“Ondoka hapa, elekea upande wa mashariki ukajifiche katika Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani. 4Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.” 5Hivyo akafanya kile alichoambiwa na Bwana. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko. 6Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi na mkate na nyama jioni, naye akanywa maji kutoka kile kijito. 7Baada ya muda, kile kijito kikakauka kwa sababu mvua haikuwa imenyesha katika nchi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.