Native Bible

1 Kings 17:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi na mkate na nyama jioni, naye akanywa maji kutoka kile kijito.

1 Kings 17:6 in English

1 Kings 17:6 · Berean Standard Bible

The ravens would bring him bread and meat in the morning and evening, and he would drink from the brook.

Context

4Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.” 5Hivyo akafanya kile alichoambiwa na Bwana. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko. 6Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi na mkate na nyama jioni, naye akanywa maji kutoka kile kijito. 7Baada ya muda, kile kijito kikakauka kwa sababu mvua haikuwa imenyesha katika nchi. 8Kisha neno la Bwana likamjia, kusema,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.