Native Bible

1 John 2:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mtu yeyote anayelitii neno lake, upendo wa Mungu umekamilika ndani yake kweli kweli. Katika hili twajua kuwa tumo ndani yake.

1 John 2:5 in English

1 John 2:5 · Berean Standard Bible

But if anyone keeps His word, the love of God has been truly perfected in him. By this we know that we are in Him:

Context

3Basi katika hili twajua ya kuwa tumemjua, tukizishika amri zake. 4Mtu yeyote asemaye kuwa, “Ninamjua,” lakini hazishiki amri zake, ni mwongo, wala ndani ya mtu huyo hamna kweli. 5Lakini mtu yeyote anayelitii neno lake, upendo wa Mungu umekamilika ndani yake kweli kweli. Katika hili twajua kuwa tumo ndani yake. 6Yeyote anayesema anakaa ndani yake hana budi kuenenda kama Yesu alivyoenenda. 7Wapendwa, siwaandikii ninyi amri mpya bali ile ya zamani, ambayo mmekuwa nayo tangu mwanzo. Amri hii ya zamani ni lile neno mlilosikia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.