Native Bible

1 John 2:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu yeyote asemaye kuwa, “Ninamjua,” lakini hazishiki amri zake, ni mwongo, wala ndani ya mtu huyo hamna kweli.

1 John 2:4 in English

1 John 2:4 · Berean Standard Bible

If anyone says, “I know Him,” but does not keep His commandments, he is a liar, and the truth is not in him.

Context

2Yeye ndiye dhabihu ya upatanisho kwa ajili ya dhambi zetu, wala si kwa ajili ya dhambi zetu tu, bali pia kwa ajili ya dhambi za ulimwengu wote. 3Basi katika hili twajua ya kuwa tumemjua, tukizishika amri zake. 4Mtu yeyote asemaye kuwa, “Ninamjua,” lakini hazishiki amri zake, ni mwongo, wala ndani ya mtu huyo hamna kweli. 5Lakini mtu yeyote anayelitii neno lake, upendo wa Mungu umekamilika ndani yake kweli kweli. Katika hili twajua kuwa tumo ndani yake. 6Yeyote anayesema anakaa ndani yake hana budi kuenenda kama Yesu alivyoenenda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.