1 Wakorintho 8:3
1 Corinthians 8:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini mtu ampendaye Mungu, hujulikana naye Mungu.
1 Corinthians 8:3 in English
1 Corinthians 8:3 · Berean Standard Bible
But the one who loves God is known by God.
Context
1Sasa kuhusu chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu, tunajua kwamba “sisi sote tuna ujuzi.” Lakini ujuzi hujivuna, bali upendo hujenga. 2Mtu yeyote anayedhani kwamba anajua kitu, bado hajui kama impasavyo kujua. 3Lakini mtu ampendaye Mungu, hujulikana naye Mungu. 4Hivyo basi, kuhusu kula chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu: Tunajua kwamba “Sanamu si kitu chochote kabisa duniani,” na kwamba “Kuna Mungu mmoja tu.” 5Kwa kuwa hata kama wapo hao wanaoitwa miungu, kama wakiwa mbinguni au duniani (kama ilivyo kweli wapo “miungu” wengi na “mabwana” wengi),
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.