1 Wakorintho 8:2
1 Corinthians 8:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu yeyote anayedhani kwamba anajua kitu, bado hajui kama impasavyo kujua.
1 Corinthians 8:2 in English
1 Corinthians 8:2 · Berean Standard Bible
The one who thinks he knows something does not yet know as he ought to know.
Context
1Sasa kuhusu chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu, tunajua kwamba “sisi sote tuna ujuzi.” Lakini ujuzi hujivuna, bali upendo hujenga. 2Mtu yeyote anayedhani kwamba anajua kitu, bado hajui kama impasavyo kujua. 3Lakini mtu ampendaye Mungu, hujulikana naye Mungu. 4Hivyo basi, kuhusu kula chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu: Tunajua kwamba “Sanamu si kitu chochote kabisa duniani,” na kwamba “Kuna Mungu mmoja tu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.