Native Bible

1 Corinthians 7:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe.

1 Corinthians 7:8 in English

1 Corinthians 7:8 · Berean Standard Bible

Now to the unmarried and widows I say this: It is good for them to remain unmarried, as I am.

Context

6Nasema haya kama ushauri na si amri. 7Laiti watu wangekuwa kama mimi nilivyo. Lakini kila mtu amepewa kipawa chake kutoka kwa Mungu, mmoja ana kipawa cha namna hii na mwingine ana cha namna ile. 8Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe. 9Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe na kuolewa, kwa maana ni afadhali kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa. 10Kwa wale waliooana nawapa amri (si mimi ila ni Bwana): Mke asitengane na mumewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.