Native Bible

1 Corinthians 7:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Laiti watu wangekuwa kama mimi nilivyo. Lakini kila mtu amepewa kipawa chake kutoka kwa Mungu, mmoja ana kipawa cha namna hii na mwingine ana cha namna ile.

1 Corinthians 7:7 in English

1 Corinthians 7:7 · Berean Standard Bible

I wish that all men were as I am. But each man has his own gift from God; one has this gift, another has that.

Context

5Msinyimane, isipokuwa mmekubaliana kufanya hivyo kwa muda fulani ili mweze kujitoa kwa maombi, kisha mrudiane tena ili Shetani asije akapata nafasi ya kuwajaribu kwa sababu ya kutokuwa na kiasi. 6Nasema haya kama ushauri na si amri. 7Laiti watu wangekuwa kama mimi nilivyo. Lakini kila mtu amepewa kipawa chake kutoka kwa Mungu, mmoja ana kipawa cha namna hii na mwingine ana cha namna ile. 8Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe. 9Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe na kuolewa, kwa maana ni afadhali kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.