1 Wakorintho 7:6
1 Corinthians 7:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nasema haya kama ushauri na si amri.
1 Corinthians 7:6 in English
1 Corinthians 7:6 · Berean Standard Bible
I say this as a concession, not as a command.
Context
4Mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wake bali mumewe, wala mume hana mamlaka juu ya mwili wake bali mkewe. 5Msinyimane, isipokuwa mmekubaliana kufanya hivyo kwa muda fulani ili mweze kujitoa kwa maombi, kisha mrudiane tena ili Shetani asije akapata nafasi ya kuwajaribu kwa sababu ya kutokuwa na kiasi. 6Nasema haya kama ushauri na si amri. 7Laiti watu wangekuwa kama mimi nilivyo. Lakini kila mtu amepewa kipawa chake kutoka kwa Mungu, mmoja ana kipawa cha namna hii na mwingine ana cha namna ile. 8Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.