1 Wakorintho 7:10
1 Corinthians 7:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa wale waliooana nawapa amri (si mimi ila ni Bwana): Mke asitengane na mumewe.
1 Corinthians 7:10 in English
1 Corinthians 7:10 · Berean Standard Bible
To the married I give this command (not I, but the Lord): A wife must not separate from her husband.
Context
8Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe. 9Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe na kuolewa, kwa maana ni afadhali kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa. 10Kwa wale waliooana nawapa amri (si mimi ila ni Bwana): Mke asitengane na mumewe. 11Lakini akitengana, ni lazima akae bila kuolewa, ama sivyo apatane tena na mumewe. Wala mume asimpe mkewe talaka. 12Lakini kwa wengine nasema (si Bwana ila ni mimi): Kama ndugu ana mke asiyeamini, naye huyo mke anakubali kuishi pamoja naye, basi asimwache.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.