Native Bible

1 Corinthians 4:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baadhi yenu mmekuwa na jeuri mkidhani kuwa sitafika kwenu.

1 Corinthians 4:18 in English

1 Corinthians 4:18 · Berean Standard Bible

Some of you have become arrogant, as if I were not coming to you.

Context

16Basi nawasihi igeni mfano wangu. 17Kwa sababu hii ninamtuma Timotheo, mwanangu mpendwa na mwaminifu katika Bwana. Yeye atawakumbusha kuhusu njia za maisha yangu katika Kristo Yesu, ambayo yanakubaliana na mafundisho yangu ninayofundisha katika kila kanisa. 18Baadhi yenu mmekuwa na jeuri mkidhani kuwa sitafika kwenu. 19Lakini kama Bwana akipenda, nitafika kwenu mapema, nami nitapenda kujua, si tu kile wanachosema hawa watu jeuri, bali pia kujua nguvu yao. 20Kwa kuwa Ufalme wa Mungu si maneno matupu tu bali ni nguvu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.