1 Wakorintho 4:16
1 Corinthians 4:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi nawasihi igeni mfano wangu.
1 Corinthians 4:16 in English
1 Corinthians 4:16 · Berean Standard Bible
Therefore I urge you to imitate me.
Context
14Siwaandikii mambo haya ili kuwaaibisha, bali ili kuwaonya, kama wanangu wapendwa. 15Hata kama mnao walimu 10,000 katika Kristo, lakini hamna baba wengi. Mimi nilikuwa baba yenu katika Kristo Yesu kwa kuwaletea Injili. 16Basi nawasihi igeni mfano wangu. 17Kwa sababu hii ninamtuma Timotheo, mwanangu mpendwa na mwaminifu katika Bwana. Yeye atawakumbusha kuhusu njia za maisha yangu katika Kristo Yesu, ambayo yanakubaliana na mafundisho yangu ninayofundisha katika kila kanisa. 18Baadhi yenu mmekuwa na jeuri mkidhani kuwa sitafika kwenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.