1 Wakorintho 3:7
1 Corinthians 3:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue.
1 Corinthians 3:7 in English
1 Corinthians 3:7 · Berean Standard Bible
So neither he who plants nor he who waters is anything, but only God, who makes things grow.
Context
5Kwani, Apolo ni nani? Naye Paulo ni nani? Ni watumishi tu ambao kupitia wao mliamini, kama vile Bwana alivyompa kila mtu huduma yake. 6Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliikuza. 7Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue. 8Apandaye mbegu ana lengo sawa na yule atiaye maji na kila mmoja atalipwa kulingana na kazi yake. 9Kwa kuwa sisi tu watendakazi pamoja na Mungu. Ninyi ni shamba la Mungu, jengo la Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.