1 Wakorintho 3:5
1 Corinthians 3:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwani, Apolo ni nani? Naye Paulo ni nani? Ni watumishi tu ambao kupitia wao mliamini, kama vile Bwana alivyompa kila mtu huduma yake.
1 Corinthians 3:5 in English
1 Corinthians 3:5 · Berean Standard Bible
What then is Apollos? And what is Paul? They are servants through whom you believed, as the Lord has assigned to each his role.
Context
3Ninyi bado ni watu wa mwilini. Kwa kuwa bado kuna wivu na magombano miongoni mwenu, je, ninyi si watu wa mwilini? Je, si mwaendelea kama watu wa kawaida? 4Kwa maana mmoja anaposema, “Mimi ni wa Paulo,” na mwingine, “Mimi ni wa Apolo,” je, ninyi si wanadamu wa kawaida? 5Kwani, Apolo ni nani? Naye Paulo ni nani? Ni watumishi tu ambao kupitia wao mliamini, kama vile Bwana alivyompa kila mtu huduma yake. 6Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliikuza. 7Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.