1 Wakorintho 3:6
1 Corinthians 3:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliikuza.
1 Corinthians 3:6 in English
1 Corinthians 3:6 · Berean Standard Bible
I planted the seed and Apollos watered it, but God made it grow.
Context
4Kwa maana mmoja anaposema, “Mimi ni wa Paulo,” na mwingine, “Mimi ni wa Apolo,” je, ninyi si wanadamu wa kawaida? 5Kwani, Apolo ni nani? Naye Paulo ni nani? Ni watumishi tu ambao kupitia wao mliamini, kama vile Bwana alivyompa kila mtu huduma yake. 6Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliikuza. 7Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue. 8Apandaye mbegu ana lengo sawa na yule atiaye maji na kila mmoja atalipwa kulingana na kazi yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.