Native Bible

1 Corinthians 3:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Apandaye mbegu ana lengo sawa na yule atiaye maji na kila mmoja atalipwa kulingana na kazi yake.

1 Corinthians 3:8 in English

1 Corinthians 3:8 · Berean Standard Bible

He who plants and he who waters are one in purpose,* and each will be rewarded according to his own labor.

Context

6Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliikuza. 7Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue. 8Apandaye mbegu ana lengo sawa na yule atiaye maji na kila mmoja atalipwa kulingana na kazi yake. 9Kwa kuwa sisi tu watendakazi pamoja na Mungu. Ninyi ni shamba la Mungu, jengo la Mungu. 10Kwa neema Mungu aliyonipa, niliweka msingi kama mjenzi stadi na mtu mwingine anajenga juu yake. Lakini kila mmoja inampasa awe mwangalifu jinsi anavyojenga.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.