1 Wakorintho 3:21
1 Corinthians 3:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu,
1 Corinthians 3:21 in English
1 Corinthians 3:21 · Berean Standard Bible
Therefore, stop boasting in men. All things are yours,
Context
19Kwa maana hekima ya ulimwengu huu ni upuzi mbele za Mungu. Kama ilivyoandikwa: “Mungu huwanasa wenye hekima katika hila yao,” 20tena, “Bwana anajua kwamba mawazo ya wenye hekima ni ubatili.” 21Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu, 22ikiwa ni Paulo au Apolo au Kefa* au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au wakati ujao, haya yote ni yenu 23na ninyi ni wa Kristo, naye Kristo ni wa Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.