1 Wakorintho 3:20
1 Corinthians 3:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
tena, “Bwana anajua kwamba mawazo ya wenye hekima ni ubatili.”
1 Corinthians 3:20 in English
1 Corinthians 3:20 · Berean Standard Bible
And again, “The Lord knows that the thoughts of the wise are futile.”*
Context
18Msijidanganye. Kama mtu yeyote miongoni mwenu akidhani kuwa ana hekima kwa viwango vya dunia hii, inampasa awe mjinga ili apate kuwa na hekima. 19Kwa maana hekima ya ulimwengu huu ni upuzi mbele za Mungu. Kama ilivyoandikwa: “Mungu huwanasa wenye hekima katika hila yao,” 20tena, “Bwana anajua kwamba mawazo ya wenye hekima ni ubatili.” 21Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu, 22ikiwa ni Paulo au Apolo au Kefa* au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au wakati ujao, haya yote ni yenu
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.