Native Bible

1 Corinthians 3:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana hekima ya ulimwengu huu ni upuzi mbele za Mungu. Kama ilivyoandikwa: “Mungu huwanasa wenye hekima katika hila yao,”

1 Corinthians 3:19 in English

1 Corinthians 3:19 · Berean Standard Bible

For the wisdom of this world is foolishness in God’s sight. As it is written: “He catches the wise in their craftiness.”*

Context

17Kama mtu yeyote akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamwangamiza; kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, na ninyi ndiyo hilo hekalu. 18Msijidanganye. Kama mtu yeyote miongoni mwenu akidhani kuwa ana hekima kwa viwango vya dunia hii, inampasa awe mjinga ili apate kuwa na hekima. 19Kwa maana hekima ya ulimwengu huu ni upuzi mbele za Mungu. Kama ilivyoandikwa: “Mungu huwanasa wenye hekima katika hila yao,” 20tena, “Bwana anajua kwamba mawazo ya wenye hekima ni ubatili.” 21Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.