Native Bible

1 Corinthians 3:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na ninyi ni wa Kristo, naye Kristo ni wa Mungu.

1 Corinthians 3:23 in English

1 Corinthians 3:23 · Berean Standard Bible

and you belong to Christ, and Christ belongs to God.

Context

21Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu, 22ikiwa ni Paulo au Apolo au Kefa* au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au wakati ujao, haya yote ni yenu 23na ninyi ni wa Kristo, naye Kristo ni wa Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.