1 Wakorintho 16:6
1 Corinthians 16:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huenda nitakaa nanyi kwa muda, au hata kukaa nanyi kipindi chote cha baridi, ili mweze kunisaidia katika safari yangu, popote niendapo.
1 Corinthians 16:6 in English
1 Corinthians 16:6 · Berean Standard Bible
Perhaps I will stay with you awhile, or even spend the winter, so that you can help me on my journey, wherever I go.
Context
4Kama ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami. 5Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia. 6Huenda nitakaa nanyi kwa muda, au hata kukaa nanyi kipindi chote cha baridi, ili mweze kunisaidia katika safari yangu, popote niendapo. 7Kwa maana sitaki niwaone sasa na kupita tu; natarajia kuwa nanyi kwa muda wa kutosha, kama Bwana akipenda. 8Lakini nitakaa Efeso mpaka wakati wa Pentekoste,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.