1 Wakorintho 16:5
1 Corinthians 16:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia.
1 Corinthians 16:5 in English
1 Corinthians 16:5 · Berean Standard Bible
After I go through Macedonia, however, I will come to you; for I will be going through Macedonia.
Context
3Kwa hiyo nitakapowasili, nitawapa wale mtakaowachagua barua za kuwatambulisha, ili kuwatuma wapeleke zawadi zenu huko Yerusalemu. 4Kama ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami. 5Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia. 6Huenda nitakaa nanyi kwa muda, au hata kukaa nanyi kipindi chote cha baridi, ili mweze kunisaidia katika safari yangu, popote niendapo. 7Kwa maana sitaki niwaone sasa na kupita tu; natarajia kuwa nanyi kwa muda wa kutosha, kama Bwana akipenda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.