1 Wakorintho 16:7
1 Corinthians 16:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana sitaki niwaone sasa na kupita tu; natarajia kuwa nanyi kwa muda wa kutosha, kama Bwana akipenda.
1 Corinthians 16:7 in English
1 Corinthians 16:7 · Berean Standard Bible
For I do not want to see you now only in passing; I hope to spend some time with you, if the Lord permits.
Context
5Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia. 6Huenda nitakaa nanyi kwa muda, au hata kukaa nanyi kipindi chote cha baridi, ili mweze kunisaidia katika safari yangu, popote niendapo. 7Kwa maana sitaki niwaone sasa na kupita tu; natarajia kuwa nanyi kwa muda wa kutosha, kama Bwana akipenda. 8Lakini nitakaa Efeso mpaka wakati wa Pentekoste, 9kwa maana mlango mkubwa umefunguliwa kwangu kufanya kazi yenye matunda, nako huko kuna adui wengi wanaonipinga.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.