1 Wakorintho 16:8
1 Corinthians 16:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini nitakaa Efeso mpaka wakati wa Pentekoste,
1 Corinthians 16:8 in English
1 Corinthians 16:8 · Berean Standard Bible
But I will stay in Ephesus until Pentecost,*
Context
6Huenda nitakaa nanyi kwa muda, au hata kukaa nanyi kipindi chote cha baridi, ili mweze kunisaidia katika safari yangu, popote niendapo. 7Kwa maana sitaki niwaone sasa na kupita tu; natarajia kuwa nanyi kwa muda wa kutosha, kama Bwana akipenda. 8Lakini nitakaa Efeso mpaka wakati wa Pentekoste, 9kwa maana mlango mkubwa umefunguliwa kwangu kufanya kazi yenye matunda, nako huko kuna adui wengi wanaonipinga. 10Ikiwa Timotheo atakuja kwenu, hakikisheni kwamba hana hofu yoyote akiwa nanyi, kwa sababu anafanya kazi ya Bwana, kama mimi nifanyavyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.