1 Wakorintho 16:3
1 Corinthians 16:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo nitakapowasili, nitawapa wale mtakaowachagua barua za kuwatambulisha, ili kuwatuma wapeleke zawadi zenu huko Yerusalemu.
1 Corinthians 16:3 in English
1 Corinthians 16:3 · Berean Standard Bible
Then, on my arrival, I will send letters with those you recommend to carry your gift to Jerusalem.
Context
1Basi kuhusu changizo kwa ajili ya watakatifu: Kama nilivyoyaagiza makanisa ya Galatia, fanyeni vivyo hivyo. 2Siku ya kwanza ya kila juma, kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha, kulingana na mapato yake na fedha hizo aziweke akiba, ili nitakapokuja pasiwe na lazima ya kufanya mchango. 3Kwa hiyo nitakapowasili, nitawapa wale mtakaowachagua barua za kuwatambulisha, ili kuwatuma wapeleke zawadi zenu huko Yerusalemu. 4Kama ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami. 5Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.