Native Bible

1 Corinthians 16:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami.

1 Corinthians 16:4 in English

1 Corinthians 16:4 · Berean Standard Bible

And if it is advisable for me to go also, they can travel with me.

Context

2Siku ya kwanza ya kila juma, kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha, kulingana na mapato yake na fedha hizo aziweke akiba, ili nitakapokuja pasiwe na lazima ya kufanya mchango. 3Kwa hiyo nitakapowasili, nitawapa wale mtakaowachagua barua za kuwatambulisha, ili kuwatuma wapeleke zawadi zenu huko Yerusalemu. 4Kama ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami. 5Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia. 6Huenda nitakaa nanyi kwa muda, au hata kukaa nanyi kipindi chote cha baridi, ili mweze kunisaidia katika safari yangu, popote niendapo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.