1 Nyakati 9:42
1 Chronicles 9:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ahazi akamzaa Yara, Yara akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa.
1 Chronicles 9:42 in English
1 Chronicles 9:42 · Berean Standard Bible
Ahaz was the father of Jarah; Jarah * was the father of Alemeth, Azmaveth, and Zimri; and Zimri was the father of Moza.
Context
40Yonathani akamzaa Merib-Baali,*
naye Merib-Baali akamzaa Mika. 41Wana wa Mika walikuwa:
Pithoni, Meleki, Tarea, na Ahazi. 42Ahazi akamzaa Yara, Yara akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa. 43Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Refaya, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli. 44Aseli alikuwa na wana sita, na haya ndiyo majina yao:
Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hanani. Hawa ndio waliokuwa wana wa Aseli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.