1 Nyakati 9:41
1 Chronicles 9:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea, na Ahazi.
1 Chronicles 9:41 in English
1 Chronicles 9:41 · Berean Standard Bible
The sons of Micah: Pithon, Melech, Tahrea, and Ahaz.*
Context
39Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli. Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.* 40Yonathani akamzaa Merib-Baali,*
naye Merib-Baali akamzaa Mika. 41Wana wa Mika walikuwa:
Pithoni, Meleki, Tarea, na Ahazi. 42Ahazi akamzaa Yara, Yara akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa. 43Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Refaya, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.