Native Bible

1 Chronicles 9:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yonathani akamzaa Merib-Baali,* naye Merib-Baali akamzaa Mika.

1 Chronicles 9:40 in English

1 Chronicles 9:40 · Berean Standard Bible

The son of Jonathan: Merib-baal, who was the father of Micah.

Context

38Miklothi akamzaa Shimeamu. Wao pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu. 39Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli. Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.* 40Yonathani akamzaa Merib-Baali,* naye Merib-Baali akamzaa Mika. 41Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea, na Ahazi. 42Ahazi akamzaa Yara, Yara akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.