1 Nyakati 9:39
1 Chronicles 9:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli. Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.*
1 Chronicles 9:39 in English
1 Chronicles 9:39 · Berean Standard Bible
Ner was the father of Kish, Kish was the father of Saul, and Saul was the father of Jonathan, Malchishua, Abinadab, and Esh-baal.
Context
37Gedori, Ahio, Zekaria na Miklothi. 38Miklothi akamzaa Shimeamu. Wao pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu. 39Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli. Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.* 40Yonathani akamzaa Merib-Baali,*
naye Merib-Baali akamzaa Mika. 41Wana wa Mika walikuwa:
Pithoni, Meleki, Tarea, na Ahazi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.