Native Bible

1 Chronicles 9:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Gedori, Ahio, Zekaria na Miklothi.

1 Chronicles 9:37 in English

1 Chronicles 9:37 · Berean Standard Bible

Gedor, Ahio, Zechariah, and Mikloth.

Context

35Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni. Mke wake aliitwa Maaka, 36mwanawe mzaliwa wa kwanza alikuwa Abdoni, akafuatiwa na Suri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu, 37Gedori, Ahio, Zekaria na Miklothi. 38Miklothi akamzaa Shimeamu. Wao pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu. 39Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli. Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.