Native Bible

1 Chronicles 9:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Refaya, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli.

1 Chronicles 9:43 in English

1 Chronicles 9:43 · Berean Standard Bible

Moza was the father of Binea. Rephaiah * was his son, Elasah his son, and Azel his son.

Context

41Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea, na Ahazi. 42Ahazi akamzaa Yara, Yara akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa. 43Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Refaya, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli. 44Aseli alikuwa na wana sita, na haya ndiyo majina yao: Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hanani. Hawa ndio waliokuwa wana wa Aseli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.