Native Bible

1 Chronicles 8:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa ndio wazao wa Ehudi, waliokuwa viongozi wa jamaa za wale walioishi huko Geba na ambao walihamishiwa Manahathi:

1 Chronicles 8:6 in English

1 Chronicles 8:6 · Berean Standard Bible

These were the descendants of Ehud who were the heads of the families living in Geba and were exiled to Manahath:

Context

4Abishua, Naamani, Ahoa, 5Gera, Shefufani na Huramu. 6Hawa ndio wazao wa Ehudi, waliokuwa viongozi wa jamaa za wale walioishi huko Geba na ambao walihamishiwa Manahathi: 7Naamani, Ahiya na Gera. Gera alikuwa baba yao Uza na Ahihudi na ndiye aliwaongoza kwenda uhamishoni. 8Shaharaimu aliwazaa wana katika nchi ya Moabu baada ya kuwapa talaka wake zake wawili yaani, Hushimu na Baara.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.