1 Nyakati 8:7
1 Chronicles 8:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naamani, Ahiya na Gera. Gera alikuwa baba yao Uza na Ahihudi na ndiye aliwaongoza kwenda uhamishoni.
1 Chronicles 8:7 in English
1 Chronicles 8:7 · Berean Standard Bible
Naaman, Ahijah, and Gera, who carried them into exile and who was the father of Uzza and Ahihud.*
Context
5Gera, Shefufani na Huramu. 6Hawa ndio wazao wa Ehudi, waliokuwa viongozi wa jamaa za wale walioishi huko Geba na ambao walihamishiwa Manahathi: 7Naamani, Ahiya na Gera. Gera alikuwa baba yao Uza na Ahihudi na ndiye aliwaongoza kwenda uhamishoni. 8Shaharaimu aliwazaa wana katika nchi ya Moabu baada ya kuwapa talaka wake zake wawili yaani, Hushimu na Baara. 9Kwa mkewe Hodeshi, akawazaa wana saba: Yobabu, Sibia, Mesha, Malkamu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.