Native Bible

1 Chronicles 8:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Gera, Shefufani na Huramu.

1 Chronicles 8:5 in English

1 Chronicles 8:5 · Berean Standard Bible

Gera, Shephuphan, and Huram.

Context

3Wana wa Bela walikuwa: Adari, Gera, Abihudi, 4Abishua, Naamani, Ahoa, 5Gera, Shefufani na Huramu. 6Hawa ndio wazao wa Ehudi, waliokuwa viongozi wa jamaa za wale walioishi huko Geba na ambao walihamishiwa Manahathi: 7Naamani, Ahiya na Gera. Gera alikuwa baba yao Uza na Ahihudi na ndiye aliwaongoza kwenda uhamishoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.