1 Nyakati 7:19
1 Chronicles 7:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Shemida walikuwa: Ahiani, Shekemu, Liki na Aniamu.
1 Chronicles 7:19 in English
1 Chronicles 7:19 · Berean Standard Bible
And these were the sons of Shemida: Ahian, Shechem, Likhi, and Aniam.
Context
17Mwana wa Ulamu alikuwa:
Bedani.
Hawa ndio waliokuwa wana wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase. 18Dada yake aliyeitwa Hamolekethi aliwazaa Ish-Hodi, Abiezeri na Mahla. 19Wana wa Shemida walikuwa:
Ahiani, Shekemu, Liki na Aniamu. 20Wana wa Efraimu walikuwa:
Shuthela, ambaye alimzaa Beredi,
Beredi akamzaa Tahathi, Tahathi akazaa Eleada,
Eleada akamzaa Tahathi, 21Tahathi akamzaa Zabadi,
na Zabadi akamzaa Shuthela.
Ezeri na Eleadi waliuawa na wenyeji wa Gathi walipokuwa wamekwenda huko kuwanyangʼanya mifugo yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.