1 Nyakati 7:17
1 Chronicles 7:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwana wa Ulamu alikuwa: Bedani. Hawa ndio waliokuwa wana wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase.
1 Chronicles 7:17 in English
1 Chronicles 7:17 · Berean Standard Bible
The son of Ulam: Bedan. These were the sons of Gilead son of Machir, the son of Manasseh.
Context
15Makiri akatwaa mke kutoka miongoni mwa Wahupimu na Washupimu. Jina la dada yake aliitwa Maaka. Mwana wa pili wa Makiri aliitwa Selofehadi, ambaye alikuwa na wasichana tu. 16Maaka mkewe Makiri akamzaa mwana aliyemwita Pereshi. Jina la nduguye lilikuwa Shereshi. Wana wa Pereshi walikuwa Ulamu na Rakemu. 17Mwana wa Ulamu alikuwa:
Bedani.
Hawa ndio waliokuwa wana wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase. 18Dada yake aliyeitwa Hamolekethi aliwazaa Ish-Hodi, Abiezeri na Mahla. 19Wana wa Shemida walikuwa:
Ahiani, Shekemu, Liki na Aniamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.