Native Bible

1 Chronicles 7:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dada yake aliyeitwa Hamolekethi aliwazaa Ish-Hodi, Abiezeri na Mahla.

1 Chronicles 7:18 in English

1 Chronicles 7:18 · Berean Standard Bible

His sister Hammolecheth gave birth to Ishhod, Abiezer, and Mahlah.

Context

16Maaka mkewe Makiri akamzaa mwana aliyemwita Pereshi. Jina la nduguye lilikuwa Shereshi. Wana wa Pereshi walikuwa Ulamu na Rakemu. 17Mwana wa Ulamu alikuwa: Bedani. Hawa ndio waliokuwa wana wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase. 18Dada yake aliyeitwa Hamolekethi aliwazaa Ish-Hodi, Abiezeri na Mahla. 19Wana wa Shemida walikuwa: Ahiani, Shekemu, Liki na Aniamu. 20Wana wa Efraimu walikuwa: Shuthela, ambaye alimzaa Beredi, Beredi akamzaa Tahathi, Tahathi akazaa Eleada, Eleada akamzaa Tahathi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.