1 Nyakati 6:77
1 Chronicles 6:77 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wamerari (Walawi waliobakia) walipokea miji ifuatayo: kutoka kabila la Zabuloni walipokea Yokneamu, Karta, Rimoni na Tabori pamoja na maeneo yake ya malisho.
1 Chronicles 6:77 in English
1 Chronicles 6:77 · Berean Standard Bible
The Merarites (the rest of the Levites) received the following: From the tribe of Zebulun they were given Rimmono and Tabor,* together with their pasturelands.
Context
75Hukoki na Rehobu, pamoja na maeneo yake ya malisho. 76Kutoka kabila la Naftali
walipokea Kedeshi katika Galilaya, Hamoni na Kiriathaimu pamoja na maeneo yake ya malisho. 77Wamerari (Walawi waliobakia) walipokea miji ifuatayo:
kutoka kabila la Zabuloni
walipokea Yokneamu, Karta, Rimoni na Tabori pamoja na maeneo yake ya malisho. 78Kutoka kabila la Reubeni, ngʼambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko
walipokea Bezeri ulioko jangwani, Yahasa, 79Kedemothi na Mefaathi pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.