Native Bible

1 Chronicles 6:78 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka kabila la Reubeni, ngʼambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko walipokea Bezeri ulioko jangwani, Yahasa,

1 Chronicles 6:78 in English

1 Chronicles 6:78 · Berean Standard Bible

From the tribe of Reuben east of the Jordan opposite Jericho they were given Bezer in the wilderness, Jahzah,*

Context

76Kutoka kabila la Naftali walipokea Kedeshi katika Galilaya, Hamoni na Kiriathaimu pamoja na maeneo yake ya malisho. 77Wamerari (Walawi waliobakia) walipokea miji ifuatayo: kutoka kabila la Zabuloni walipokea Yokneamu, Karta, Rimoni na Tabori pamoja na maeneo yake ya malisho. 78Kutoka kabila la Reubeni, ngʼambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko walipokea Bezeri ulioko jangwani, Yahasa, 79Kedemothi na Mefaathi pamoja na maeneo yake ya malisho. 80Na kutoka kabila la Gadi walipokea Ramothi huko Gileadi, Mahanaimu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.