1 Nyakati 6:79
1 Chronicles 6:79 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kedemothi na Mefaathi pamoja na maeneo yake ya malisho.
1 Chronicles 6:79 in English
1 Chronicles 6:79 · Berean Standard Bible
Kedemoth, and Mephaath, together with their pasturelands.
Context
77Wamerari (Walawi waliobakia) walipokea miji ifuatayo:
kutoka kabila la Zabuloni
walipokea Yokneamu, Karta, Rimoni na Tabori pamoja na maeneo yake ya malisho. 78Kutoka kabila la Reubeni, ngʼambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko
walipokea Bezeri ulioko jangwani, Yahasa, 79Kedemothi na Mefaathi pamoja na maeneo yake ya malisho. 80Na kutoka kabila la Gadi
walipokea Ramothi huko Gileadi, Mahanaimu, 81Heshboni na Yazeri, pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.